LUTENI WA MLIMA WA JWTZ ALIYEUAWA AKILINDA AMANI DRC CONGO AZIKWA DAR
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha kwenye gari
jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima
wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es
Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa
la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo
la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakiwa wameinamia kwa huzuni jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
PONGEZI Waombolezaji wakijiandaa kufanya maziko Waombolezaji wakifanya maziko
Askari wa JWTZ wakitoa heshima wakati wa maziko Meja Leonidas Luangisa akisoma wasifu wa marehemu Luteni Mlima. Mseamaji Mkuu wa Familia ya Mlima, Balozi Alhaji Saleh Tambwe akisoma za familia na kuwashukuru watu wote walioshiriki kwenye mazishi hayo.

No comments:
Post a Comment