KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI RUVUMA LEO,KESHO KUELEKEA MKOANI MBEYA.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipungia wananchi wakati akirejea kijiji cha Lituhi kwa kuvuka
mto Ruhuhu kwa mtumbwi, baada ya kutoka kuwasalimu wakazi wa kijiji cha Kipingu wilayani Ludewa,wengine
pichani ni Dk.Asha-Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho.
Sehemu ya eneo la mto Ruhuhu,kivuko cha mto huo kimeshindwa kufanya
kazi kutokana na kina chake cha maji kupungu,Ndugu Kinana alisema kuwa
kivuko hicho hufanya kazi kwa muda wa miezi minne tu kwa mwaka,miezi
mingine yote halifanyikazi kutokana na kina cha maji kupungua,hata hivyo
Ndugu Kinana alieleza kuwa Serikali itajenga daraja kufuatia ahadi
aliyoitoa Mh Rais Jakaya Kikwete kwa wakazi wa kijiji hicho. 
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Lituhi wakiwa ndani ya Mtumbwi wakitokea katika kijiji cha Kipingu wilayani Ludewa,shoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Ndugu Ernest Kahindi wakivuka kwa mtumbwi mto Ruhuhu kuelekea kijiji cha Kipingu wilaya ya Ludewa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya jinsi ya kutumia vifaa vya maabara katika kufanikisha kutambua kemikali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne Erasto Ndumba na Stella Hyera wa shule ya sekondari ya Kata ya Mtakatifu Paul kata ya Liuli wilaya ya Nyasa.
Wakazi wa kijiji cha Lituhi wakimsikiliza Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Lituhi ambapo wanachama zaidi ya 400
wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupaka rangi nyumba za
madaktari zilizochini ya mradi wa Taasisi Benjamini Mkapa katika kituo
cha afya Mkili kata Liundi wilayani Nyasa.
Mbunge
wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba akimtambulisha Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kama Ndugu yake wa karibu kwani mafanikio
yake yametokana na mchango mkubwa wa Marehemu Mzee Nnauye ,Pia Komba
alimuelezea Kinana kama mmoja wa walimu wake wazuri wa masomo ya kijeshi
pamoja na siasa.

nyumba za madaktari zilizochini ya mradi wa Taasisi Benjamini Mkapa katika kituo cha afya Mkili kata Liundi wilayani Nyasa.

No comments:
Post a Comment