Ofisa
Habari wa klabu ya Simba SC, Ezekiel Kamwaga 'Mr. Liverpool' akimpiga
busu mkewe, Ummy Kurthum Mussa mwenyeji wa Tanga, baada ya kufunga naye
pingu za maisha, mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Landmark, Ubungo,
Dar es Salaam.
Kamwaga, mkewe na wanandugu
Kamwaga na mkewe
Kamwaga akimvisha pete mkewe
EZEKIEL KAMWAGA 'MR. LIVERPOOL', WA SIMBA SC APATA JIKO, ANASA KWA BINTI WA KITANGA
Reviewed by crispaseve
on
8:53 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment