WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE MJINI CHENGDU,CHINA
Waziri
Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na viongozi wa Kampuni ya Hinan
Intternational Limited waliojipenga kuwekeza katika uboreshaji wa
uzalishaji wa zao la pamba katika mikoa ya Shinyanga na Simiyu jijini
Chendu akiwa katika ziara ya nchini China Oktoba 22, 2013. Wann kusoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Nasoro Rufanga na watano kushoto ni mkuu
wa mkoa wa Simiyu.
Waziri
mkuu, Mizengo Pida na kewe Tunu wakitembelea Kituo Cha Utafiti wa
wanyama aina ya Panda nje kitogo ya jiji la Chendu nchini China Oktoba
22, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kisalimian Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bio
Energy Ya Berlin, Bw. Alexander Boiton baada ya mazungumzo yao mjini
Chengdu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 22, 2013.
Wapili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Chengdu De Tong
Environmental Engineering Co Limited , Tong Boitin ba watatu kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Katani Limited, Salum Shamte.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment