WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA TAWI JPYA LA BENKI YA WANAWAKE TANZANIA LA MJASILIAMALI, KARIAKOO
Waziri
Mkuu, Mhe.Mizengo Pinda, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi la
Benki ya Wanawake Tanzania la Mjasiliamali, Kariakoo. Kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki Bw.Mohamed Nyasama ,kushoto ni Waziri Sophia
Simba.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mizengo Pinda
amezindua Tawi jipya la Benki ya Wanawake Tanzania la MJASILIAMALI
, Kariakoo. Tawi la Benki hiyo lipo katika Mtaa wa Aggrey
Msimbazi Kariakaoo, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na uzinduzi wa tawi
hilo,
Mhe.Pinda amezindua huduma za Kibenki kwa kutumia Simu ( TWB Banking) . Picha zote na Asteria Muhozya, ( WMJJW)
Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akizindua Jiwe la Msingi la Tawi jipya la Mjasiliamali, Kariakoo la Benki ya Wanawake Tanzania
Waziri
Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akifungua Akaunti katika Tawi la Mjasiliamali
Kariakoo la Benki ya Wanawake Tanzania mara baada ya uzinduzi.
Waziri Mkuu. Mhe. Mizengo Pinda akizindua huduma za Simu za Benki ya Wanawake Tanzania - TWB Banking
Waziri
Mkuu , Mhe.Mizengo Pinda akiteta jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya
Wanawake Tanzania Bw.Mohamed Nyasama wakati wa Uzinduzi wa Tawi la Benki
hiyo
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mhe.Sohpia Simba, akiteta jambo
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mhe.Meck Sadiki wakati wa uzinduzi
No comments:
Post a Comment