Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi NSSF Watembelea Miradi Dar.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa Ujenzi
wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakitembelea mradi wa nyumba
za bei nafuu eneo la Mtoni Kijichi
Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi Karim Mattaka (wa kwanza kulia waliokaa
mezani) akitoa taarifa fupi kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii na maofisa waandamizi wa taasisi
hiyo juu ya maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi Karim Mattaka (wa kwanza kushoto)
akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii na maofisa waandamizi wa taasisi hiyo juu ya
maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) pamoja na maofisa wa NSSF wakiteremka kwenye gari
katika moja ya miradi ya taasisi hiyo walipotembelea jana.
Mmoja wa maofisa wa juu na mhandisi kutoka NSSF akifafanua jambo kwa wajumbe wa bodi.
Mfisa Mradi msimamizi na Msanifu wa NSSF, Deogratias Mponeja (wa kwanza
kushoto) akitoa maelezo juu ya mradi wa awamu ya tatu ya ujenzi wa
nyumba nafuu kwa wajumbe.
No comments:
Post a Comment