Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC MADAGASCAR
Baadhi
ya Waangalizi wa Uchaguzi wa SADC wakiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji
mstaafu Ndugu John Tendwa mara baada ya kupokea taarifa ya SADC baada
ya kukamilika kwa awamu ya kwanza ya uchaguzi ya kiti cha urais
uliofanyika nchini Madagascar na kuhusishwa wagombea 33 ,awamu ya pili
na ambao utakuwa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika mwezi desemba. Picha na Adam H. Mzee
No comments:
Post a Comment