MTEMVU AELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA YOMBO VITUKA
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (wa pili kulia) akishangiliwa
na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alipokuwa akienda jukwaani
kuhutubia kuelezea utekelezaji wa miradi ya maendeleo kupitia Ilani ya
Uchaguzi ya CCM katika Kata ya Yombo Vituka, Dar es Salaam juzi.
Mtemvu akipanda jukwaani huku akisindikizwa na wanachama eneo la Lumo, Yombo Vituka
Mtemvu akihutubia
Msanii wa Kikundi cha Sanaa cha Machozi, Mwajuma Seleman akionesha
umahiri wake wa kucheza sarakasi.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha Machozi, Neema Maganga na Kassim Ali wakifanya mambo wakati wa mkutano huo
Diwani wa Kata ya Yombo Vituka, Kapteni Kenedy Makinda akihutubia na
kuelezea mafanikio ya miradi mbalimbali ikiwemo ya miundo mbinu katika
kata hiyo.
Wafuasi wa CCM wakicheza kwa furaha wakat wa mkutano huo
Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Temeke, Masungu Mkalimtu akihutubia katika mkutano huo
Katibu Mwenezi, Masungu Mkalimtu akikabidhi kadi ya uanachama kw mwanachama mpya Abdalah Kazimali
Wanachama wapya wakila kiapo cha CCM cha utii
Mtemvu (katikati) akila kiapo cha utii cha CCM pamoja na viongozi wengine wa CCM katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment