MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI KIGOMA KUZINDUA KIVUKO KIPYA CHA MV MALAGALASI WILAYANI UVINZA KESHO.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Kigoma
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma za asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa wa
Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo mchana,
kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv Malagalasi kesho katika Wilaya
ya Uvinza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma za asili na kumpongeza mmoja wa wasanii
hao wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kigoma leo mchana, kwa ajili ya kuzindua Kivuko kipya cha Mv
Malagalasi kesho katika Wilaya ya Uvinza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza baada ya kukabidhiwa ripoti ya Mkoa wa Kigoma leo mchana.
Picha na OMR
No comments:
Post a Comment