MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA RAIS WA BUNGE LA SWITZERLAND IKULU DAR KWA MAZUNGUMZO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya
mazungumzo. Kushoto ni Balozi wa Switzerland nchini, Olivier Chave.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Rais wa Bunge la Switzerland, Maya Graf,
wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana
kwa ajili ya mazungumzo.
No comments:
Post a Comment