MAADHIMISHO YA SIKU YA UANAWAJI MIKONO ZANZIBAR.
Mmoja
wa wasanii wa kikundi cha Kigunia Arts Group akinawa mikono kama ishara
ya kuadhimisha siku ya Unawaji Mikono Duniani ambapo kwa Zanzibar
Maadhimisho hayo iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Baadhi
ya wanafunzi waliofika katika madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono
Duniani yalifanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwakilishi
wa Shirika la kimataifa la Watoto UNICEF Khamis Ussi Khamis akitoa
salamu za shirika hilo kuhusu madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono
Duniani iliofanyaka Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mkurugenzi
Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar, Muhammed Dahoma na Kaimu Mkuu Kitengo
cha Afya Mazingira Bi. Rukaiya Mohamed Said wakibadilishana mawazo
wakatika wa madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani ilioadhimishwa Kijiji cha Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu
Waziri wa Afya Dkt. Sira Ubwa Mamboya akiwahutubia wananchi katika
madhimisho ya siku ya Unawaji Mikono Duniani iliofanyaka Kijiji cha
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment