HIKI NDIO KISIMA CHA KISIMA CHA AJABU MKOANI DODOMA.
Koo
mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka
kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika
kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM]
Baadhi
ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi
kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
Mkuu
wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa
kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima
hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata
Mafanikio ya kiafya na kimaisha: PICHA NA JOHN BANDA
No comments:
Post a Comment