RAISI BARACK OBAMA AANZA ZIARA YAKE YA KWANZA BARANI AFRIKA KATIKA NCHI YA SENEGAL LEO NA KUHUTUBIA

Rais wa Marekani, Barack Obama na Rais wa Senegal, Macky Sall wakiwa kwenye conference ya ikulu ya Senegal leo June 27, 2013

Rais wa Marekani, Barack Obama akikalibishwa kiti na Rais wa Senegal, Macky Sall kwenye ikulu ya Senegal leo June 27, 2013

Rais wa Marekani, Barack Obama na First lady Michelle Obama wakikagua gwaride leo June 27, 2013

Hili ndilo gari alilokuwa ameandaliwa Rais wa Marekani, Barack Obama

Rais wa Marekani, Barack Obama akitembea huku gari lake likiwa nyuma leo June 27, 2013

Rais wa Marekani, Barack Obama na first lady Michelle Obama wakikagua gwaride leo June 27, 2013

Rais wa Marekani, Barack Obama akisalimiana na First Lady wa Senegal, Mariame Faye Sall huku Rais wa Senegal, Macky Sall akisalimiana na First lady wa Marekani, Michelle Obama leo June 27, 2013

Rais wa Marekani, Barack Obama akishuka kwenye ndege akiwa na familia yake kwenye uwanja wa Dakar, Senegal usiku wa jana Jumatano June 26, 2013
No comments:
Post a Comment