MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE PAMOJA NA FAMILIA YAKE WAHUDHURIA MAZISHI YA SARGENT DIRECTIVE CHRISTOPHER KYENDESYA
Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya enzi za uhai wake
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete Wa katikati akiwa na Mke wa Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya kushoto pamoja na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa Diwani Athumani
wakiingia katika nyumba ya Mama wa Marehemu kwa ajili ya kuhani Msiba
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji na kumpa pole Mama wa Marehemu
aliye kuwa Mbunge wa viti Maalum Mstaafu Mama Kyendesya
Mke wa Rais Mama Salma kikwete akiwapa pole ndugu jamaa na Marafiki
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa salamu zake za Pole kwa wafiwa pamoja na neno la Faraja.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Muheshimiwa Abas Kandoro akitoa salamu za pole kwa Familia ya Marehemu Ndugu jamaa na Marafiki.
Kamanda wa Polisi Mkoa Diwani akitoa Salamu za Pole kwa ndugu jamaa na Marafiki kwa Niaba ya Jeshi la Polisi.
Msemaji Kutoka Jeshi la Polisi na aliye ongoza msafara wa kuuleta mwili wa Marehemu, akisoma Historia fupi ya Marehemu.
Kaka wa Rais Kikwete wa Pili kushoto akiwa katika Ibada ya Mazishi
Kutoka
kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma kikwete, Mama wa Marehemu
Muhemishimiwa Mbunge wa viti maalum mstaafu Mama Kyendesya, Mke wa
Marehemu Christopher Kyendesya pamoja na ndugu
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Muheshimiwa Abas Kandoro, Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani pamoja na Mkuu wa Usalama Mkoa wa
Mbeya
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa Heshima za Mwisho katika Mwili wa Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya
Kaka
wa Muheshimiwa Rais Jakaya Kikwete , akitoa salamu za mwisho katika
mwili wa Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya
Mama
wa Marehemu Muheshimiwa Mbunge Mstaafu viti maalumu Mama Kyendesya
akitoa salamu za mwisho katika mwili wa Marehemu Sargent Detective
Christopher Kyendesya
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akitoa salamu za mwisho katika
mwili wa Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya
Wananchi mbalimbali wakiwa katika Mazishi ya Marehemu Sargent Detective Christopher Kyendesya.
Kazi ya Mazishi ikiwa inaanza
Salamu za Rambirambi zikitolewa kwa niaba ya Mbunge wa viti Maalum Dr. Mary Mwanjelwa
Aliyekuwa Mratibu wa Shughuli ya Mazishi Bwana Mwakipesile akizungumza jambo
Askari wa Jeshi la Polisi kikosi cha FFU wakifyatua risasi juu ikiwa ni Ishara ya Heshima katika Mazishi hayo
Mchungaji wa Kanisa la Moraviani ushirika wa Itili akitoa Mbaraka wakati wa kumaliza ibada ya Mazishi
Mke wa Marehemu Sargent Christopher Kyendesya akiweka Shada la Maua
Mama wa Marehemu Sargent Christopher Kyendesya , Muheshimiwa Mbunge Mstaafu Mama Kyendesya akiweka Shada la maua katika Kaburi
Mtoto wa Maremu Erick akiweka shada la mauwa katika kaburi la Baba yake pia kwa niaba ya Pacha wake ambaye alichelewa Mazishi
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete Akiwa na Kaka wa Muheshimiwa wa Rais Jakaya
Kikwete wakiweka Shada la Mauwa katika kaburi la Marehemu Sargent
Detective Christopher Kyendesya
Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa Abas Kandoro pamoja na Mkewe wakiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani akiweka shada la maua katika kaburi la maremu kwa niaba ya Jeshi la Polisi
Ndugu Shitambala wa Pili kutoka Kushoto akiwa katika msiba
Hawa ni vijana kutoka Sae ambao ndio waliochimba kaburi la Marehemu .
Picha zote na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment