Header Ads

TAIFA KATIKA TASWIRA:JK, UHURU KENYATTA NA PIERRE NKURUNZINZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na Rais Mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta wakiwaaga wajumbe waliohudhuria mkutano wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Umoja wa Afrika ya Mashariki uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha Jana.  Picha  na Freddy Maro

No comments:

Powered by Blogger.