SERIKALI YA TANZANIA YASAINI MKATABA WA MABILIONI KUTOKA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam
Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda,
Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo kabla ya
kusaini mikataba hiyo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam
Mgimwa wakibadilishana mkataba na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
Waziri
wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia
saini mikataba hiyo.
Waziri
wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier
wakijadiliana jambo kabla ya kusaini mikataba hiyo.
Ujumbe wa Tanzania waliohudhuria utiaji saini mikataba hiyo mitatu.
Kutoka
kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bi. Susan Mkapa pamoja na
wanasheria wa Benki ya Dunia wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa
Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia sahii mikataba hiyo.
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier kwa tabasamu mara baada ya kumaliza kutia saini mikataba hiyo. Picha na Ingiahedi Mduma na Eva Valerian – Washington DC
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na kuwajengea uwezo wa kuendesha miradi ya gesi. Mkataba huo umesainiwa leo na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Wiliam Mgimwa Waziri wa fedha, pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier Mjini Washington DC
No comments:
Post a Comment