KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue katika mazungumzo na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe
Diana Melrose aliyemtembelea leo April 19, 2013 ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam. mazungumzo hayo yalihusu maswala mbalimbali ya
ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue akisalimiana na Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Uingereza (DFID)
nchini Bw. Elliot Marshall aliyeongozana na Balozi wa Uingereza nchini
Tanzania Mhe Diana Melrose (katikati) aliyemtembelea leo April 19, 2013
ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam. mazungumzo hayo yalihusu
maswala mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili. PICHA NA
IKULU


No comments:
Post a Comment