 |
| Katibu wa NEC-CCM
Itikadi, Siasa na Uenezi, Nape Nnauye akiweka shada la maua kwa miaba
ya chama hicho, wakati yeye na viongozi wengine walishiriki kwenye
mazishi ya msiba wa marehemu Galus Matanji yaliyofanyika katika makaburi
ya Kanisa la Katoliki Kalengakelo la Mtakatifu Petro, Kata ya Mtimbila,
wilayani Ulanga, Morogoro jana. Nape ambaye alikuwa kwenye ziara ya
kikazi ya kuimarisha uhai wa chama hicho, aliamua kusitisha baadhi ya
shughuli na kuamua kushiriki misiba miwili iliyotokea eneo hilo ukiwemo
wa Mwanaiba Seif. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG) |
Nape akimkabidhi ubani baba mzazi wa marehemu Mwanaiba Seif, Abdul Seif
 |
| Katibu wa NEC-CCM
Itikadi, Siasa na Uenezi, Nape Nnauye, akishiriki katika maziko ya
Mwanaiba Seif yaliyofanyika eneo la Kalengakelo, Mtibila wilayani
Ulanga, Nape ambaye alikuwa kwenye ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa
chama hicho, aliamua kusitisha baadhi ya shughuli na kuamua kushiriki
misiba miwili iliyotokea eneo hilo ukiwemo wa marehemu Galus Matanji. |
Katibu wa NEC-CCM Itikadi, Siasa na Uenezi, Nape Nnauye, na Mbunge wa
Jimbo la Ulanga Magharibi, Dk. Hadji Mponda (CCM), wakiwa katika ibada
ya kuuombea mwili wa marehemu Matanji katika Knisa la Mtakatifu Petro.
 |
| Nape katikati
akiwaongoza baadhi ya viongozi kwenda kushiriki ibada ya kuuombe mwili
wa marehemu Matanji katika Kanisa la Katoliki |
Mbunge wa Ulanga Magharibi, Dk. Hadji Mponda (katikati)akitoa salamu za rambirambi katika maziko ya marehemu Matanji.
Pape akishiriki katika maziko ya marehemu Matanje
Nape akimkabidhi ubani mmoja wa wanafamilia ya marehemu Matanji.
Marehemu Mwanaiba akizikwa
No comments:
Post a Comment