Header Ads

watu 11 wamekamatwa na polisi  kwa kosa la kufanya vurugu katika uwanja wa mpira wa miguu Wembley  jumamosi iliyopita katika mechi ya nusufainali ya kombe la FA kati ya Wigan na Millwall na kusababisha polisi wane kuumia

Millwall fans fight with police officers during FA Cup semi-final soccer match against Wigan Athletic at Wembley Stadium in LondonWashabiki wa timu ya Millwall wakipambana na polisi katika uwanja Wembley Jumamosi iliyopita

No comments:

Powered by Blogger.