Header Ads

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CCM MOROGORO MJINI LEO, UTARUSHWA LIVE NA TBC TELEVISHENI

 Tandale Modern Taarab wakitumbuiza mapema asubuhi hii wakati wa maandalizi ya mkutano huo wa CCM kwenye viwanja vya Sabasaba, Morogoro mjini. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)
 Jukwaa kuu linavyoonekana pamojana viti watakavyokaa waalikwa
 Jukwaa la burudani lililivyo
 Jukwaa dogo litakalotumiwa na viongozi kuhutubia
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akijaribu gitaa la Tandale Modern Taarab
Nape akijaribisha kupiga kinanda cha kikundi hicho

No comments:

Powered by Blogger.