DIAMOND,LINAH NA TMK FAMILY WAFANIKISHA MKUTANO WA CCM MOROGORO
Kundi la TMK Wanaume Family likishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa
CCM uliofanyika leo kwenye Kiwanja cha Ndege mjini Morogoro
Msanii wa kizazi kipya Lina Sanga akitumbuiza katika mkutano wa hadhara
wa CCM kwenye viwanja vya Sbaaba, mjini Morogoro.PICHA ZOTE NA KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond' akiwa amebebwa alipokuwa
akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM kwenye viwanja vya Kiwanja
cha Ndege, mjini Morogoro
Msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond'akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM , mjini Morogoro
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo
| Msanii Temba wa TMK Family akifanya mambo |
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment