DKT SLAA,MCHUNGAJI MSIGWA, WENJE, KIWIA NA JOSEPH MBILINYI WAUNG'URUMA JIJINI MBEYA
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akisindikizwa na Maelfu ya
wanachama wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoani mbeya kuhutubia
kwenye mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe
Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) akihutubia maelfu ya wanachama wa chadema mkoani mbeya jana katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe

Mbunge wa Jimbo la Ilemela-Chadema Highness Kiwia akihutubia maelefu ya wanachama wa chadema mkoani mbeya jana katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akihutubia maelfu ya wanachama wa chadema kwenye mkutano wa hadhara Mkoani Mbeya Jana katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe katika mkutano huu uliudhuriwa na Mbunge
wa Iringa, Mchungaji Peter Msigwa (Iringa mjini), Ezekiel Wenje(Mwanza
mjini) na Highness Kiwia wa Jimbo la Ilemela. .Picha na Chadema
No comments:
Post a Comment