Waziri Mkuu aendelea na Ziara yake Mkoani Katavi
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
akijaribu kupiga marimba wakati kikundi cha hiyari ya moyo ambacho
kilikuwa kikitoa burudani katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha
songa mbele kata ya nsimmbo
Ofisa Tawala (RAS) wa Mkoa wa
Katavi,Eng Emmanuel Kalobero akimuonyesha Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
shamba lake ambalo amepanda miembe na mahindi kwakufuata kanuni bora za
kilimo.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa
katika shamba la Ofisa Tawala (RAS) wa Mkoa wa Katavi,Eng Emmanuel
Kalobelo akiangalia anavyo panda miembe ya kisasa.kushoto kwa Waziri
Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Dkt. Rajabu Rutengwe anayefuatia ni
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Katavi,Anna Lupembe.Waziri Mkuu yupo katika
jimbo lake kuhimiza kilimo na kuwataka viongozi kuwa mfano kwa wananchi
katika kilimo cha kisasa.Picha na Chris Mfinanga.
No comments:
Post a Comment