Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake
cha Sekretarieti na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo, Desemba 11, 2012,
katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)
Mwigulu Nchemba . PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 |
Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary (kushoto) akihudhuria kikao hicho pamoja na makatibu wenzie |
 |
Katibu wa Sekretaiieti Uchumi na Fedha, Zakia Meghji akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba |
 |
Makatibu wakuu wa CCM kutoka mikoani wakiwa katika kikao hicho |
No comments:
Post a Comment