Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala Gilsenan Amtembelea Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala
Gilsenan,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kusalimiana na Rais jana.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimkaribisha Balozi wa Ireland Nchini Tanzania Fionnuala
Gilsenan,mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya
kusalimiana na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment