Katika hali isiyo ya kawaida
wanafunzi wa Kigeni Kutoka Msumbiji wa mwaka wa 2 wa kitivo cha sayansi
ya jamii cha chuo kikuu cha dodoma (UDOM)wakicheza mpira wa miguu bila
wasiwasi katika uwanja wa mpira wa kikapu.je hii ni sahihi au wanataka
kusema kuwa chuo kikuu cha dodoma kina uhaba wa viwanja vya mpira?Jibu
ni hapana Kitivo hiki cha sayansi ya jamii kina viwanja viwili vikubwa
vya mpira tu lakini waliamua kwenda kucheza hapo bila uoga wala aibu je
uwanja huu ukiendelea kutumiwa hivyo utadumu?au huo mpira wa miguu
wanaochezea hapo utadumu pia?
Wanafunzi Wa Kigeni Wa Chuo Kikuu
Cha Dodoma Kutoka Nchini Msumbiji Wakisakata Kambumbu bila Uoga Katika
uwanja wa mpira wa kikapu chuo hapa leo jioni.
No comments:
Post a Comment