Header Ads

  Mpiga Bass wa Bendi ya Extra Bongo, Hoseah Mgoati, akiwapagawisha mashabiki wa bendi hiyo kwa kulichalaza Gitaa la Bass, wakati wa onyesho lao lililofanyika juzi Mkuranga.

  Wanenguaji wa kike wa bendi hiyo wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho hilo.

No comments:

Powered by Blogger.