
ASKARI
wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakiwa katika Barabara ya Nyerere,
Mjini Mwanza kuzuia magari kupita eneo la Mahakama ya Wilaya kwa usalama
wa mahabusu baada ya kuibuka vurugu zilizosababishwa na waumini wa dini
ya kiislamu waliovamia mahakamani wakishinikiza kuwaona watuhumiwa wa
kesi ya kuchoma Quran.Picha ya Mtandao
No comments:
Post a Comment