Mchezaji wa Man U Javier Hernandez
pamoja na Park Ji Sung na Wayne Rooney Wakishangilia Ushindi Wa Goli la
Kwanza dhidi ya Everton
Javier Hernandez akiipatia Goli timu yake ya Man U katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza jana
Beki wa Everton Tony Hibbert
akijaribu kuwania mpira na mchezaji wa Man U Nani katika Mchezo wa Ligi
Kuu Ya Uingereza. Man U iliibuka Na Ushindi wa goli Moja Dhidi ya
Everton
No comments:
Post a Comment