Header Ads

MWEZI KUPATWA NA JUA KESHO

Kesho tarehe 15/6/2011 mwezi utapatwa katika nyota Mshale katika nyuzi 24o23'. Sakata hili litaanza hapa kwetu saa 2:24:34 usiku na kuisha saa 8:00:45 usiku wa manane. Ifikapo saa 4:22:30 mwezi utaanza kugeuka rangi kuwa mwekundu na ifikapo saa 5:12:37 usiku basi kuna mawili au utakuwa hauonekani kabisa (ukizingatia volcano iliyolipuka hivi karibuni na kutupa vumbi jingi sana angani), ama utageuka na kuwa kama damu iliyoganda. Ukiangalia tutakuwa na masaa 3:30 ya mwezi mwekundu na jumla ya masaa 7 ya tendo zima la kupatwa.

Na haya ni maelezo ya mnajimu wetu


Tutegemee nini basi, kwa wale waliozaliwa kati ya tarehe 13 juni hadi 20, na desemba 13 hadi 20 wakae chonjo kwani wana miaka saba ya machungu. Pia kwa wale wenye sayari ktk nyuzi hizi 20-28 Mapacha na Mshale (ikiwemo nchi yetu). Kubwa zaidi kutakuwa na ugunduzi mkubwa wa habari za uongo ambazo zilikuwa zikijulika kama za kweli, hii inaweza kuleta mtafaruku. Kwa kuwa Mars ndiye atakuwa bwana wa kupatwa huku ambako nako kunatokea ktk nyota ya moto - mshale, machafuko, vifo vya jumla, mioto, vitegemewe sana. Uzuri mmoja ni kuwa Mars akiwa ndiye bwana wa kupatwa ataonyesha na njia ya kutokea pia ktk matatizo hayo.

Usiku wa kupatwa tunashauriwa kufanya haya; kuoga wakati wa kupatwa, kusali (andika sara yako kwenye karatasi safi kisha ichome moto, hapa nini maanisha unacho taka kitendeke ktk maisha yako, na usichotaka kitende kiandikwe kwa AMRI ya neno naachilia jambo hili na hili. mf. naachilia tabia yangu ya ulevi iende ilikotoka isirudi kwangu tena). Kula kabla ya saa 2:24:34.

Katika usiku huu unashauriwa usifanye haya: tendo la ndoa, usigombane, usiseme uongo, usile.

Mambo ni mengi sana kwa leo nakomea hapa.

Najua majumbani magomvi sasa yameisha anza, lakini chukulieni magonvi hayo kama chachu ya kusonga mbele. Na magomvi haya hasa ni kuhusu watoto, majirani, elimu, n.k. Kwa wale walioharibikiwa na magari simu, computer msihofu ndo nyota ya mapacha inavyoliwa ambayo iko mkabara na Mshale.

Siku njema.



STAR WA CHELSEA NA TIMU YA TAIFA YA IVORY COAST DIDIER DROGBA ALIPOPATA JIKO WIKI ILIYOPITA MONACO


Private ceremony: Didier Drogba invited his closest family and 
friends to his wedding in Monaco
Private ceremony: Didier Drogba invited his closest family and friends to his wedding in Monaco
Long-term love: Drogba and his now-wife Lalla at a London party 
last September
Long-term love: Drogba and his now-wife Lalla at a London
Here comes the bride: It was a real family affair for the 
millionaire footballer
Here comes the bride: It was a real family affair for the millionaire footballer

No comments:

Powered by Blogger.