Header Ads

Bosi mtoto Justin Bieber Full kujiachia Beach.

 Justin Bieber akiwa kijana mwenye umri wa miaka 17 tu ameanza kuenjoy maisha zaidi ya hata wale wenye umri mara mbili ya umri wake Hapa kwetu namna gani maisha yalivyo tofauti kama alama za vidole!! 
 
                        
  Hivi karibuni kamera za mapaparazi ziliwabamba wakiponda raha katika pwani Maui.Haya bosi mtoto...
                                               
 We justin mbona huna haraka hivyo si usubiri utayakuta! na Serena naona una kitu cha mnyama mkononi!!





No comments:

Powered by Blogger.