MATEMBEZI YA KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA NJAA
Mwenyikiti wa Taasisi ya Wama Mama Salma Kikwete alieshika bendera ili kuzindua matembezi kwaajili ya kuchangisha chakula mashuleni, matembezi hayo yamefanyika leo mjini Dodoma huku Mama Salma Kikwete akiwa mgeni rasmi.
Mwenyekiti wa taasissi y a WAMA mama Salma Kikwete(kushoto) Mkuu wa mkoa wa Dodoma James Msekela, Mwakilish iMkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Ronald Sibanda pamoja na Balozi wa kupambana na njaa nchini Reginald Mengi (kulia) wakiwa katika matembezi ya kuchangia chakula mashuleni mkoani Dodoma leo.
Matembezi yakishika kasi mkoani Dodoma leo asubuhi ambapo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete alishiriki Pamoja na Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali, Sekondari na shule za msingi wakishiriki katika matembezi hayo, kwa ajili ya kuchangisha fedha za kusaidia chakula mashuleni.
No comments:
Post a Comment