HONGERA SANA IRENE UWOYA KWA KUPATA MTOTO..
Jina lake anaitwa KRISH HAMAD NDIKUMANA, mtoto wa kwanza ambaye amezaa na mchezaji maarufu kwa jina la HAMADI
NDIKUMANA
Kutoka Rwanda hivyo kwa sasa Irene atakuwa nyumbani kwa ajili ya kulea mtoto wake huyo. That's a very big step in Life!!! MUNGU akuzidishie amani na upendo!!!
No comments:
Post a Comment