BINGWA WA KULA DUNIANI
Huyu ndo yule mfalme wa kula duniani akisheherekea siku kuu yake ya kuzaliwa
(Birthday) ambayo aliandaliwa keki kubwa kuliko zote duniani ambayo alifanikiwa kula kwa muda wa saa moja na nusu bila kubakisha chochote aiseee!,Hiyo kutokana na wadhifa wake au
Heshima yake katika mashindo hayo duniani.Kuna siri moja ambayo sio ya lazima sana
kuzingatia ni kwamba huyu jamaa apewagi na sahani ndogo!...
Yeye show zake ni sinia tu.
Hii ni noma Aiseeee!!

No comments:
Post a Comment