Header Ads

UP COMING

Naitwa FRANK FREDY JONES jina la kisanii JOEFREY(JOE+FREEZY) ni msanii wa muziki wa RAP(HIP HOP)na ni mtunzi wa nyimbo za aina mbalimbali kama HIP HOP,RNB,(BONGO FREVA),TAARABU,NA NYIMBO ZA INJIRI. Nilianza kazi hii ya KUIMBA na kutunga nyimbo tangu mwaka 2000 hadi sasa nina nyimbo zisizo pungua mia mbili(200) pia nina uza na kutunga nyimbo kwa wanao hitaji Lengo ni kupata MDHAMINI (wadhamini)atakaye(watakao) nilipia gharama za kurekodi nyimbo studio.Na haiadi kuonyesha ushirikiano kwa atakaye jitokeza kufanya kazi na mimi, kwani nina mazoezi ya kutosha pia UWEZO wa kufanya kazi popote pale na mtu yoyote bila kujali jinsia cha MSINGI azingatie MAKUSUDIO niliyo yaweka hapo juu.nawa karibisha wote Mawasiliano piga namba hizi -0756 563 787 -0657 666 187
Powered by Blogger.