Header Ads

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA WODI ZA WAZAZI KATIKA HOSPITALI TATU JIJINI DAR ES SALAAM.

post-feature-image

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutbia kwenye hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa wodi tatu za wazazi na watoto katika Hospitali za Rufaa za Mkoa wa Dar es salaam leo Octoba 11,2016. Kampuni ya Amsons Gropu imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Wananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za kisasa zitakuwa vitanda 150 na ujenzi wake utagharimu bilioni 4.5 mpaka ukamilike.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(katikati) akisoma maandishi yalioandikwa kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa wodi ya wazazi katika hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es salaam,kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na kulia ni Meneja wa Biashara wa kampuni ya Amsons Group Bw. Suleiman K.Amour.
Kampuni ya Amsons Gropu imefadhili ujenzi wa wodi za wazazi katika hospitali ya Wananyamala, Amana-Ilala na Temeke, wodi za kisasa zitakuwa vitanda 150 na ujenzi wake utagharimu bilioni 4.5 mpaka ukamilike.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Powered by Blogger.