KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA KWA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CHAMA HICHO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa
mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone mara baada kuwasili mkoani humo
jioni ya leo,tayari kwa kuanza maandalizi ya shamra shamra za
maadhimisho ya chama cha Mapinduzi (CCM) kutimiza miaka 39 Kitaifa
mkoani Singida.Sherehe hizo zitakazofanyika Februari 6 2016 zinatarajiwa
kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho.
Ndugu
Kinana akisaliamiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya
kuwasili Singida leo,kulia kwake ni MKuu wa Mkoa wa Singida Dk.Parseko
Vicent Kone
Mkuu
wa mkoa wa Singida Dk.Parseko Vicent Kone sambamba na Mkuu wa Wilaya ya
Singida Said Amanzi wakiwa na wageni wao ,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye mara baada
kupokelewa jioni ya leo mjini humo
Mwenyeki wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida Bi.Diana Chilolo samba na Mkuu wa Mkoa Dk.Parseko Vicent Kone wakiwakaribisha wageni wao jioni ya leo mkoani humo.
Baadhi ya Wafuasi wa chama cha CCM wakijimwaya mwaya mara baada ya kuwapokea wageni wao waliowasili jioni ya leo mkoani humo.
Msafara
wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili mkoani Singida
jioni ya leo kwa ajili ya maandalizi ya shamra shamra za maadhimisho ya
chama cha Mapinduzi (CCM) kutimiza miaka 39 Kitaifa mkoani
Singida,ambapo sherehe hizo ambazo zitahudhuriwa na viongozi mbalimbali
wa chama hicho zinatarajiwa kurindima Februari 6 2016 katika uwanja wa
Namfua.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wafuasi
wa chama hicho waliofika kumlaki mara baada ya kuwasili mkoani humo
jioni ya leo,tayari kwa kuanza maandalizi ya shamra shamra za
maadhimisho ya chama cha Mapinduzi (CCM) kutimiza miaka 39 Kitaifa
mkoani Singida.Sherehe hizo zitakazofanyika Februari 6 2016 zinatarajiwa
kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Mhe. Nape Nnauye akisalimiana
na baadhi ya wafuasi wa chama hicho waliofika kuwalaki mara baada ya
kuwasili mkoani humo jioni ya leo,tayari kwa kuanza maandalizi ya shamra
shamra za maadhimisho ya chama cha Mapinduzi (CCM) kutimiza miaka 39
Kitaifa mkoani Singida.Sherehe hizo zitakazofanyika Februari 6 2016
zinatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama hicho.
Mwenye
wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Singida Bi.Diana Chilolo
akimlaki Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa,Ndugu Nape Nnauye mara
baada ya kuwasili mkoani humo akiwa ameambatana Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Kinana tayari kwa maandalizi ya maadhimisho ya chama hicho kutimiza
miaka 39,ambapo kilele chake itakuwa Februari 6 ndani uwanja wa Namfua.
No comments:
Post a Comment