WADAU WA ELIMU WAJADILI VIPAUMBE VYA ELIMU BAADA YA MIAKA MITANO.
Mkurugenzi
wa elimu ya watu wazima na elimu nje ya mfumo rasmi, Salum Mnjagila
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na vipaumbele vya elimu kwa
miaka mitano ijayo hapa nchini.
Amesema
kuwa mfumo wa usio rasmi ijadiliwe katika mitaala mbalimbali ya
kufundishia pamoja na tathmini ya hali ya mitihani na ufaulu wa
wanafunzi.
Mwakilishi
wa UNESCO, Zumira Lodriguz akizungumza na waandishi wa habari leo
jijini Dar es Salaam wakijadili masuala ya elimu baada ya miaka 5 ijayo
jinsi itakavyo kuwa.
Baadhi ya wadau wa elimu na wawakilishi wa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia Elimu, sayansi na utamaduni wakijadiliana mambo mbalimbali ya elimu hapa nchini baada ya miaka mitano.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment