Rais afanya ziara kisiwani Pemba kutembelea miradi ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD Elimeka Shumu (kushoto) inayofanyia
matengenezo
Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake wakati alipotembelea maendeleo
ya ujenzi huo leo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa
katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa ushauri kwa Mkandarasi wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD inayojenga Machinjio ya Ngo’mbe Elimeka
Shumu(wa tatu kulia) wakati alipotembelea machinjio hayo leo
Wesha Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra
shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya
Mkoani
Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja
(Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON
CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment