PINDA AKUTANA NA WATAFITI JIJINI KWAKE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na
mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na watafiti wa masuala ya mazingira ,
wanawake na wanyamapori Profesa Tim Cars (wapili kulia) na profesa
Monica Malder (wapili kushoto) kijijini kwake Kibaoni wilayani Mlelele
Julai 19, 2015. Watafiti hao wenye makazi yayo kijijini hapo tangu 1995
.
No comments:
Post a Comment