Header Ads

HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI GEITA LEO

1
Maelfu ya Wananchi wakimpokea mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli mkoani Geita mchana  wa leo. Dr John Pombe Magufuli yuko mkoani Geita kwa ajili ya kujitambulisha kwa wananchi mara baada ya chama cha Mapinduzi kumteu kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.
23
Dr. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi.
5
Baadhi ya wananchi wakimpungia mikono Mgombea urais kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli.
67
Umati wa wananchi ukiwa umejitokeza kwa wingi.
8
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Kasheku Msukuma akionyesha ishara ya kufurahia jambo wakati wa mapokezi ya Dr. John Pombe Magufuli.
10111213mag1

No comments:

Powered by Blogger.