MTEMVU APOKEA MSAADA WA VYAKULA,NGUO ULIOTOLEWA NA KAMPUNI YA GOODONE KWA AJILI YA KITUO CHA YATIMA CHA ALQAM,TANDIKA DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo,
sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa
kwa Kituo cha Kulelea Yatima cha Darul Arqam cha Tandika, Dar es Salaam
jana. Msaada huo uliombwa na mbunge huyo kwa kushirikiana na aliyewahi
kuwa Makamu wa Rfais wa TFF, Athuman Nyamlani. PICHA NA RICHARD
MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mtemvu akipokea sabuni kwa ajili ya kituo hicho
Mtemvu akipoea balo la nguo za mitumba
No comments:
Post a Comment