Header Ads

Dk.SHEIN AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI UINGEREZA KWA ZIARA MAALUM

ao1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi mbali mbali wa serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo wakiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara maalum.
ao2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi wengine  Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo  akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa ziara maalum na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, [Picha na Ikulu.]

No comments:

Powered by Blogger.