MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIDIPLOMASIA LA UTEKELEZAJI WA ITIFAKI YA RASIMU YA ARIPO INAYOLENGA KULINDA AINA MBALIMBALI MPY ZA MIMEA.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira,
wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya
kufungua Kongamano la Kidiplomasia la Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu
ya Aripo inayolenga kulinda aina mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika
kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015.
Picha na OMR
‘WAGOMBEA
WANAPOKUTANA’, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni mmoja kati ya wagombea wa Urais
kupitia CCM, akizungumza jambo na mgombea mwenzake, Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la
Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina
mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Mount Meru jijini Arusha. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Kidiplomasia la
Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina
mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Mount
Meru Jijini Arusha leo Julai 6, 2015. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Waziri
Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kufungua Kongamano
hilo. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal wakati akihutubia. Picha na OMR
Meza Kuu
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo
baada ya kufungua rasmi, leo jijini Arusha. Picha na OMR
‘WAGOMBEA
WANAPOKUTANA’ Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni mmoja kati ya wagombea wa Urais kupitia
CCM, akifurahia jambo na mgombea mwenzake, Waziri wa Kilimo, Chakula
na Ushirika, Stephen Wasira, wakati alipokuwa akiondoka kwenye Uwanja wa
Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kidiplomasia la
Utekelezaji wa Itifaki ya Rasimu ya Aripo inayolenga kulinda aina
mbalimbali mpya za mimea, lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya
Mount Meru jijini Arusha. Kushoto ni Mwenyekiti wa ARIPO, Otafiire
Kahindi. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment