FINCA YAFUTULISHA WATEJA NA WAKAZI WA MWEMBECHAI


Sheikh wa Mkoa wa Dar
es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akizungumza mara baada ya kufutari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca, Edward
Greenwood akizungumza na
Sheikh wa Mkoawa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum wakati wakifuturu mwishoni mwa wiki.
Sheikh wa Mkoawa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum wakati wakifuturu mwishoni mwa wiki.



Baadhi wa waumini wa dini ya Kiislam wakifuturu katika mwenzi Mtukufu wa Ramadhani jijini Dar es Salam mwishoni mwa wiki
BENKI
ya Finca kwakutambua mchango kwa jamii wanayoihudumia katika mwezi
mtukufu wa Ramadhani wammeamua kufuturu na wakazi na wateja wa benki
hiyo.
Akizungumza
baada yakufuru Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca, Edward
Greenwood amesema wanatambua umuhimu katika mwezi huu kuwa wanawajibu
kufuru na watu iliwaendelee kupata baraka yakuendelea kukua kwa benki
hiyo.
Amesema
kama benki itaendelea kutoahuduma kwani imekuwa ikikua kwa kasi tangu
kuanza kama taasisi yamikopo na kuweza kufikia benki ni kutokana na
jamii kutambua mchango
wake ambapo imetimiza miaka 18 tangu ilipoanzishwa mwaka 1998.
“Mafanikio haya ya Finca ni kutokana na mchangowenu
,maoni na ushirikiano wenu bilahivyo tusingewezakufika hapa tulipo”amesema Greenwood.
Nae
Sheikh wa Mkoawa Dar
es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum amesema benki imetambua umuhimu
katika mwezi mtukufu kwakutoa sehemu yakufuturisha kwakile
wanachokipata.
No comments:
Post a Comment