BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA
Meya wa Manispaa ya Ilala
Jerry Silaa akizungumza katika mkutano wa madiwani wa manispaa ya Ilala
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es
Salaam jana.
Madiwani
wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika baraza la kuvunja baraza lao jana
katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya viongozi wa dini ya Kikiristo na Dini ya Kiislam wakifuatilia
mkutano wa kuvunjwa kwa baraza la madiwani wa Manispaa ya ilala katika
ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
Diwani
wa Jimbo la Segerea wa Chama CHADEMA, Azurly Mwambagi akizungumza
katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilala
katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo
jijini Dar es Salaam jana.
Diwani wa Jimbo la Jangwani wa chama cha CCM, Abuu Jumaa
akizungumza katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa
Manispaa ya Ilala katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.(PICHA NA AVILA KAKINGO)_
No comments:
Post a Comment