Msajili
wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Msajili
wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akipokea vitendea
kazi kutoka kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kula
kiapo ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete amwapisha Msajili wa Mahakama ya Rufaa
Reviewed by
crispaseve
on
2:07 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment