KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBAR
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein
wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia,
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa
Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha
kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment