FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE
Taasis
ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New
York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa
vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao
wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule
hizo ili kuboresha elimu nchini
Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za
pembezoni
Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa
Shinyanga, Lindi na Arusha kwa kuanzia.
Bado
Flaviana Matata Foundation inahamasisha yeyote akataeguswa ikiwa ni
shirika , kampuni au mtu binafsi atakaeguswa kuwasiliana nao kupitia
info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200 680
.Pichani ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Msinune iliyopo kata ya
Kiwangwa katika wilaya ya Bagamoyo leo team ya FMF ilopotembelea Shule
hiyo kuendelea zoezi lake

Msimu wa wanafunzi kurejea mashuleni ndio kwanza umeanza ukiwa kama
kampuni, mtu binafsi ukiguswa na ungependa kusaidia tafadhali wasiliana
na info@flavianamatatafoundation.org au piga simu +255 784 200 680
No comments:
Post a Comment