DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila
Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu
Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.

Pombe Magufuli akishiriki ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga
kabwa ya kuzikwa kwake.Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh.
Raila Odinga ambaye ni baba wa Marehemu.

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga ambaye ni baba wa Marehemu akimuombea mwanae..…SOURCE http://www.globalpublishers.info/
No comments:
Post a Comment